natafuta mchumba

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
awe mweusi au maji ya kunde.
dini yyte
elmu ya form six au four
kabila lolote
awe mcheshi
mwaminifu
mkarimu
umri 18 - 35
ukiwa na cfa hizi ni PM.
 
awe mweusi au maji ya kunde.
dini yyte
elmu ya form six au four
kabila lolote
awe mcheshi
mwaminifu
mkarimu
umri 18 - 35
ukiwa na cfa hizi ni PM.

Akiwa maji ya maharage utampenda?
 
Kwa hiyo graduate hawatakiwi siyo.? Kijana acha woga... all the best.
 
endelea kukataa wachumba shauri yako...
Lol...hata moyo wako unajua fika kuwa sijakidhi vigezo vya jamaa. Mie mwenzio carolight imenikubali wakati yeye anataka mtu mweusi...
 
Lol...hata moyo wako unajua fika kuwa sijakidhi vigezo vya jamaa. Mie mwenzio carolight imenikubali wakati yeye anataka mtu mweusi...

ntakusiriba uji wa lami kidogo na oili chafu bana, jitose.
 
Lol...hata moyo wako unajua fika kuwa sijakidhi vigezo vya jamaa. Mie mwenzio carolight imenikubali wakati yeye anataka mtu mweusi...

maji ya kunde namhitaji.
 
Kwa hiyo graduate hawatakiwi siyo.? Kijana acha woga... all the best.

gradte hana nafasi kwani mi mwnywe ni grdte hivo namtaka niliyemzidi kielimu.
 
ntakusiriba uji wa lami kidogo na oili chafu bana, jitose.
Najua unachong'ang'ania ni kushona sare ya harusi...mwone vile... Ngoja nimwambie huyu bwana harusi mtarajiwa alegeze masharti kidogo.
 
haya mambo hayategemei elimu, ilimradi unaweza kugonga mtambo tu basi sifa unayo. ndio maana huko vijijini kwetu walimu ambao wengine hadi graduate ameolewa/ameoa darasa la saba
 
Najua unachong'ang'ania ni kushona sare ya harusi...mwone vile... Ngoja nimwambie huyu bwana harusi mtarajiwa alegeze masharti kidogo.

aaah nimeghairi eti kumbe yeye anataka mwanamke ambaye hajamzidi, sasa wewe phd yako tutaifutaje maana si kwenye makaratasi bali ipo kichwani!!! mengine tutakompromaizi ila si hilo.
(mtu gani anaogopa ilmu bana, mapenzi hayajui hilo)
 
Mi ni wa blue, mfanyabiashara ninaesoma ngumbaru, dini mpagani, siijui kabila yangu kwani nimemix, umri wangu 38. kama umeridhika niPM.
 
Vigezo vya unaemtafuta tumeziona,je we mbona ujaweka sifa zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…