Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni me au ke?
awe mweusi au maji ya kunde.
dini yyte
elmu ya form six au four
kabila lolote
awe mcheshi
mwaminifu
mkarimu
umri 18 - 35
ukiwa na cfa hizi ni PM.
Hapana.mme. we una vigezo nilivotana?
endelea kukataa wachumba shauri yako...Hapana.
Lol...hata moyo wako unajua fika kuwa sijakidhi vigezo vya jamaa. Mie mwenzio carolight imenikubali wakati yeye anataka mtu mweusi...endelea kukataa wachumba shauri yako...
Lol...hata moyo wako unajua fika kuwa sijakidhi vigezo vya jamaa. Mie mwenzio carolight imenikubali wakati yeye anataka mtu mweusi...
Lol...hata moyo wako unajua fika kuwa sijakidhi vigezo vya jamaa. Mie mwenzio carolight imenikubali wakati yeye anataka mtu mweusi...
ugrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!! jamani jf!!Akiwa maji ya maharage utampenda?
Kwa hiyo graduate hawatakiwi siyo.? Kijana acha woga... all the best.
Najua unachong'ang'ania ni kushona sare ya harusi...mwone vile... Ngoja nimwambie huyu bwana harusi mtarajiwa alegeze masharti kidogo.ntakusiriba uji wa lami kidogo na oili chafu bana, jitose.
Najua unachong'ang'ania ni kushona sare ya harusi...mwone vile... Ngoja nimwambie huyu bwana harusi mtarajiwa alegeze masharti kidogo.
gradte hana nafasi kwani mi mwnywe ni grdte hivo namtaka niliyemzidi kielimu.