Natafuta mchumba

Natafuta mke awe na matako makubwa hata kama hana elimu haina shida maana matako ndio elimu aliyoichagua yeye.
 
Unaoa mtu aliye na mtot hakikisha Bab mtot amefariiki au amemuua wee mwenyewe na uoneshwe kaburi lake na cheti chake ukipate
Na ufukue kaburi uchukue sampo ukapime DNA kuthibitisha kama ni yeye kweli
 
Hivi huwa huk0 mtaani wanawake hamuwa0ni au...?
Kutongoza ni kipaji, wanawake wa siku hizi wana confidence mno, unampiga vocal huku amekukazia macho bila kupepesa mpaka unaanza kusahau mistari mingine[emoji1][emoji1]
 
Sasa sisi wa miaka24 [emoji849][emoji849][emoji848]ndo tusubir adi tufike35
 
Tafuta pesa kijana haya yote yatakuja

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwamba ataliwa za kichwa huko PM[emoji38][emoji38]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dada zetu changamkieni hizi fursa msivunge
 
Miaka 36 na hujaoa, huna mtoto, pole

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwenye mtoto mmoja unaitaji kuona kaburi la baba wa mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…