Ntafurah nikimpata mzuri yoyoteNa mm nataka mwanamke wa kuoa...umri umeanza kusonga...nipo 31yrs...mwajiliwa govt, sifa awe 20 to 27....awe mweupe mrefu, na mwili...dini yoyote.... normal call 0685292038, send m txt
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Picha kwenye avatar ndio wewe chubby mrembo.Njoo inbox kama upo serious ila mie chibonge kazuri ,
Nope mie kabaya ila nanywele originalPicha kwenye avatar ndio wewe chubby mrembo.
Nakuja huko chumbani tuongee mamy!Nope mie kabaya ila nanywele original
Utaudhuria❌Utaudhulia❎-Utaudhuria✔️
Usijari❎-Usijali✔️
Tuishi Humo Mdogo Wangu!!!
Una kazi ya kueleweka?Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.
Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.
Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje inbox.
Mm hapaMimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.
Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.
Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje inbox.
Njoo pm dk chacheKwenye umri umebana sana
Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka
Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kw
Hivi wewe una nini?? 🤣🤣Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka
Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini