Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Na mm nataka mwanamke wa kuoa...umri umeanza kusonga...nipo 31yrs...mwajiliwa govt, sifa awe 20 to 27....awe mweupe mrefu, na mwili...dini yoyote.... normal call 0685292038, send m txt

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.

Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.

Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje inbox.
Una kazi ya kueleweka?
Sio watoto waanze kumiminika kumbe unaishi maisha ya "kuzuga"
 
Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.

Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.

Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje inbox.
Mm hapa
 
Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka

Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kw

Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka

Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini
Hivi wewe una nini?? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom