Natafuta mchumba

Natafuta mchumba


Usijali utapata
 
Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka

Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini
kumbe uko available....

wacha nijiongeze😂
 
Mkuu punguza umri kidogo,taja dini yako nije PM chap kwa haraka

Halafu elimu ya fom fo lazima niambatanishe na cheti?manake mie kiukweli nilimaliza fom fo lakini cheti sikupewa sijui kwanini
[emoji23][emoji23]
 
Bro, umri wako 36
Elimu : college
Hujawahi oa wala huna mtoto

Situation yako ni tatizo, kwa huo umri,
Hupashwi kua perfect ivo

[emoji16][emoji16] just kidding
 
vipi wewe tutegemee lini bandiko humu
🤣🤣🤣👋 Me tayari nina wangu Mahabuba My one and only Man😍🎀nampenda mpaka nampenda tena yaan

Sina haja ya bandiko 🤣👋nasubiria bandiko lako tu

fyddell My Man I didn’t hear anything from you since morning please say something baby..I miss you my heart beat 😍😍😍
 
Mwanamke wa miaka 30 wa nini?
Alishajichokea huyo chukua kitu 25-28 hapo.
Mwanamke akishafika 30 hajaolewa huyo malaya aliyeshindikana
 
Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.

Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.

Nahitaji mtu ambae kama tukiendana tuje kuingia kwenye mahusiano, kwa aliyetayari aje inbox.
Hata kama ni mgumba au alitoa mimba?
 
Back
Top Bottom