Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Wakuu Maombi yenu nipo kwenye usiku wa Vitasa soon napanda ulingoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utandundwa pamoja na huyo paka wako siwaogopi😀🤸♀️Nakuja na paka wangu😀, halafu Usha sikia ma giant ndo Mimi. So naku piga kwenzi tu🤣
Mi nataka upigwe nundu la uso labda utaacha ukorofi [emoji1787][emoji1787]Wakuu Maombi yenu nipo kwenye usiku wa Vitasa soon napanda ulingoni
Na mpaka usemeeeMimi ni kijana wa umri miaka 28 mkazi wa Dar es salaam natafuta mchumba ambae ntafunga nae ndoa
U key board warrior uta kuponza 😀, face to face una zimia kwa mbata za sikio🏃🏃🏃Utandundwa pamoja na huyo paka wako siwaogopi😀🤸♀️
Mama mchungaji andaeni maandiko ya kuwafariji wafiwa huyu Leo napiga kama nauaMi nataka upigwe nundu la uso labda utaacha ukorofi [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utamuua kwa màneno labda ila ngumi utadundwa nduguMama mchungaji andaeni maandiko ya kuwafariji wafiwa huyu Leo napiga kama naua
Kuanzia Leo na kesho ntawapa content kwenye media zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utamuua kwa màneno labda ila ngumi utadundwa ndugu
😀😀😀 ntakadunda haka katoto jamani😀U key board warrior uta kuponza 😀, face to face una zimia kwa mbata za sikio🏃🏃🏃
aisee una jitafutia matatizo, Usha wahi kupigwa Huku una ulizwa namba yako ya nida 😀🤣😀😀😀 ntakadunda haka katoto jamani😀
Wewe si wa kwangu Mimi lakini au unaongea mabehewa mengine?Mkuu fursa nimeiona nimeshamcheck pm nasubiri majibu
Ukadunde kamekufanya nini tena hako katoto?😀😀😀 ntakadunda haka katoto jamani😀
Naona unanitafuta but🚮Ukadunde kamekufanya nini tena hako katoto?
Tulia! Nafanya mchujooWewe si wa kwangu Mimi lakini au unaongea mabehewa mengine?
Don't take it serious mkuu, I was just making some jokes usipanic sanaNaona unanitafuta but🚮
Hadi Mimi umeniweka kwenye chujio hilo lenye matundu makubwa?Tulia! Nafanya mchujoo
Utani au kumtukana mtu? , kwa mazoea gani hadi tutaniane kiasi hicho?Don't take it serious mkuu, I was just making some jokes usipanic sana
Sijatukana popote don't be mad mboni ni issues za kawaida tu unaenda extra miles au hauishi na wanaume?Utani au kumtukana mtu? , kwa mazoea gani hadi tutaniane kiasi hicho?
Atapata ila kweli sio rahisi kupata mtu sahii humuUnique Flower maua wangu njoo useme maneno kidogo hapa...