Wewe nawe? Mwislamu gani analialia kutafuta mke! Chukua oa leo akizingua usiku fukuza! Tafuta mwingine! Fanya hivyo mara nne utapata!Awe na sifa hizi
✓awe mrefu wa wasitani
✓awe mweupe kidogo au maji ya kunde
✓Asiwe na mtoto
✓Elimu kuanzia kidato cha nne
✓kabila lolote isipokuwa muha na mkurya
✓umri miaka 23 Hadi 27
✓Awe anapatikana Mwanza
Sifa zangu ni hizi
✓self employed
✓Elimu degree
✓miaka 27
✓ mrefu mweusi kidogo
✓dini muislam
✓kabila mnyambo
😂 😂 😂Home boy rudi karagwe tu utapata mke humu mitandaoni sijui.
Kila la kheri lakini
1035 KM 🤣🤣🤣Jibu pm yangu mkuu
Nishapark begi nakuja Mwanza..!
Huyu mnyambo sijui anafeli wapi huko kwao Nyaishozi kuna wanyarwanda kibao wamekosa hifadhi anashindwa kwenda huko akajichagulia mtusi mmoja au wahima akaweka ndani😂 😂 😂
Mtandaoni kuna mambo mengi sana na inatakiwa awe makini
Kutafuta mwenza mtandao ni kugumu sana na hauwez ukaijua tabia yake halisi, huyu anaendeshwa na emotion tu. 😂😂😂Huyu mnyambo sijui anafeli wapi huko kwao Nyaishozi kuna wanyarwanda kibao wamekosa hifadhi anashindwa kwenda huko akajichagulia mtusi mmoja au wahima akaweka ndani
Anaweza kupata maana ya Mungu mengi lakini angeanzia kutafuta pale alipo akishindwa basi awe na subra wakati ukifika atapataKutafuta mwenza mtandao ni kugumu sana na hauwez ukaijua tabia yake halisi, huyu anaendeshwa na emotion tu. 😂😂😂
Nimekaa nao wengine wazazi wangu nawajua vizuri sanaUnazijua tabia za wanyarwanda vizuri aisee aya bn
Mimi ni ShangaziKama we ni jinsia ke nkutaka wewe[emoji16][emoji16]