geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,042
- 2,370
Kaoe karagwe tu wanawake wengine wakavu hawana maji, alafu awapendi kula ndizi.Awe na sifa hizi
✓awe mrefu wa wasitani
✓awe mweupe kidogo au maji ya kunde
✓Asiwe na mtoto
✓Elimu kuanzia kidato cha nne
✓kabila lolote isipokuwa muha na mkurya
✓umri miaka 23 Hadi 27
✓Awe anapatikana Mwanza
Sifa zangu ni hizi
✓self employed
✓Elimu degree
✓miaka 27
✓ mrefu mweusi kidogo
✓dini muislam
✓kabila mnyambo