Uajabu wake hapo ni upiKumbe unakuwaga na majibu ya ajabu hivii
Nina dada yangu ana watoto wawili umri miaka 25Natafuta mchumba.
Mwenye miaka 19 to 25
Mwenye umbo na haiba ya kike.
Aliye tayari kuanza maisha.
Mimi ni mtumishi wa serikali.
Elimu degree.
Nina miaka 33.
Mengine yanazungumzika njoo pm kwa taarifa zaidi.
Huwa wanaanza potabo ila akivalishwa Pete anajiachia mwaka kilo 160Umbo zuri la kike asiwe kibonge hua sipendi vibonge.
Rekebisha hapo, andika natafuta stress na matatizo.Natafuta mchumba.
mwenye umbo na haiba ya kike, right? una maanisha nini hapo?Natafuta mchumba.
Mwenye miaka 19 to 25
Mwenye umbo na haiba ya kike.
Aliye tayari kuanza maisha.
Mimi ni mtumishi wa serikali.
Elimu degree.
Nina miaka 33.
Mengine yanazungumzika njoo pm kwa taarifa zaidi.
Yeye ni mtumishi wa serikali ππmwenye umbo na haiba ya kike, right? una maanisha nini hapo?
na by the way,
wewe ni me au ke muungwana?π
Hata sie single maza mkuuπ₯²Sio lazima wa range umri huo, hata wenye miaka 30 karibu pm tutayajenga.
Sawa njooHata sie single maza mkuuπ₯²
Mwenye umbo na haiba ya kike?? una uhakika na hili ndugu mtumishi wa serikali?Natafuta mchumba.
Mwenye miaka 19 to 25
Mwenye umbo na haiba ya kike.
Aliye tayari kuanza maisha.
Mimi ni mtumishi wa serikali.
Elimu degree.
Nina miaka 33.
Mengine yanazungumzika njoo pm kwa taarifa zaidi.
π°π°π°πππUajabu wake hapo ni upi