Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Mahusiano yakianza kuwa serious utasikia mwanamke anakwambia ningependa tujueane vizuri zaidi mpenzi

Hapo kuna swali la kazi unayofanya wasio na aibu wanauliza hadi mshahara
Hayo sasa ya kwao huko na hao ulokutana nao bwan,,usimkoseshe mchumba mwenzio looooh
 
Kuwa makini utakutana na Njemba hizo Hadi uvurugike.
 
Kujichanganya/ushirikiano na jamii yako ni hafifu sana. Hii short cut kwa afya ya mahusiano na ndoa itafika wakati law of diminishing return itatake place upande wa malovee
 
Hapo kwenye umbo unge bainisha umbo gani
Trapeza ,pentagoni ,heksagon,mstatili ,duara, mraba au mche duara elewa
Hakuna mwanamke asiye na umbo ila hutofautiana
 
Kwa kizazi hiki mabinti under 25 bado hawafai kuwa wake.
Kila la heri.
 
Hapo kwenye umbo unge bainisha umbo gani
Trapeza ,pentagoni ,heksagon,mstatili ,duara, mraba au mche duara elewa
Hakuna mwanamke asiye na umbo ila hutofautiana
Kumbe unakuwaga na majibu ya ajabu hivii
 
Back
Top Bottom