Ni kweli Mwali, huu wenyewe ni ushauri, nadhani ndugu yangu usitafute mchumba hapa, tafuta jinsi ya kupata mchumba, ndio utapata ushauri wenye siha, mojawapo ya sifa kuu ya kuangalia ni umri, wanazuoni wanasema kwamba hakikisha umri wenu uslingane au kuachana sana, kuna a lot of implications, complications na repucations zakeUnataka mchumba akuzidi miaka?
looks like malezi ya upande mmoja ilikuwa tatizo kidogo so unatafuta mtu wa kukulea.... all the best in your search