Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

mtikavu

Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Am mohamed 24 nipo dar natafuta mchumba umri kuanzia 25-35 dini yoyote sichagui kabila elm yoyote ila awe mwenye kujishughulisha,me ni muajiriwa kwnye clinc moja hapa jijini plz km upo cirius nichek kupitia my email kabaisa41@yahoo.com au phone no 0783456795 wlcm ol
Sent from my Nokia phone
 
Unataka mchumba akuzidi miaka?
 
Unataka mchumba akuzidi miaka?
Ni kweli Mwali, huu wenyewe ni ushauri, nadhani ndugu yangu usitafute mchumba hapa, tafuta jinsi ya kupata mchumba, ndio utapata ushauri wenye siha, mojawapo ya sifa kuu ya kuangalia ni umri, wanazuoni wanasema kwamba hakikisha umri wenu uslingane au kuachana sana, kuna a lot of implications, complications na repucations zake

Nikirudi nitakupa ABCD za kupata mchumba ingawa sijazifanyia utafiti sana kama zina work sana..
 
Kwahiyo kama unataka mchumba tukufundishe kutongoza?
 
looks like malezi ya upande mmoja ilikuwa tatizo kidogo so unatafuta mtu wa kukulea.... all the best in your search
 
Hili tangazo umelibandika na unakoishi? Au unataka atoke jf tu?
 
Back
Top Bottom