Natafuta mchumba

Unapoenda kuanza shule kuna sifa/vigezo
Unapoenda kutafuta kazi kuna sifa/vigezo
Unapoenda kununua kitu kuna sifa/vigezo

Hope umenielewa
Hivyo vigezo vya uhusiano humu, huoni vita tibua mfumo wa mahusiano imara??

naja Leo nasema, mimi ni wakili,
daktari, mfanya biashara.

je hao ninao wafikishia ujumbe, nita juaje ni wahitaji ama watega ndoano ya kile nilicho nacho??

maana anaye fikiwa, ata kuwa ana tega macho ili abebe kilicho ng'aa ili kushibisha njaa zake
 
Kama amewez kumudu bando na kuingia jf inamaanisha anauwezo wakupata mlo msing'ang'ane na kigezo cha kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…