Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
Natafuta msichana wa kumuoa umri kuanzia miaka 20-22 elimu form 4 awe anaupenda na anaufahamu mkoa wa kilimanjaro when you want to marry me please tuwasiliane email amedeusmushi88@gmail.com
 
Mbona maelezo ni mafupi sana, unataka mtu wa kidato cha nne, wewe kidato gani? Wewe jinsia yako ni ipi? Funguka zaidi ueleweke, wako wengi sana hapa jamvini.
 
Mbona maelezo ni mafupi sana, unataka mtu wa kidato cha nne, wewe kidato gani? Wewe jinsia yako ni ipi? Funguka zaidi ueleweke, wako wengi sana hapa jamvini.

mimi kidato cha 4 then teacher.
 
napita, good luck anyway...........................
 
mimi kidato cha 4 then teacher.
Umejaribu kuchek na wanafunzi wako unaowafundisha? huenda ukajiopolea maana histoia inaonyesha walimu wengi huoa wanafunzi wao.
 
nimesema hiviiiii, mie hapa napita tuu, cna vigezo vya mchumba unayemtaka na pili nimekwambia kila la kheri nikimanisha nakuombea ufanikiwe..............lol

umenielewa sasa mkuu???????
sijakuelewa
 
awe anaujua mkoa wa kilimanjaro unamansha awe mwenyeji wa kil? we uko wap? au mcheki k/njaro hukohuko. au cyo teacher.
 
km mateacher wenyewe ndio hawa,basi tusitarajie magreat thinkers hapa JF after 10 yrs
 
Mimi niko MAGU hata kama si mwenyeji tukienda home k/njaro apende kuishi huko.
 
Back
Top Bottom