Hapana sina mtoto wala watotoWeka taarifa zako za kutosha. Je ,umeachana na mwenzi wako,?. Je una watoto?
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani.
Dini yangu ni mkristo
Yeyote aliye tayari na serious email address yangu ni:
julitaxi@ymail.com
Acha kumkatisha tamaa huyo bibie, mbona bado tupo tena kwa wingi sana tu?vigezo ulivyoweka si rahisi kupata, kwani ni wanaume wachache ambao hawajaoa kwa umri huo