Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

BabyX

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani.

Dini yangu ni mkristo

Yeyote aliye tayari na serious email address yangu ni:

julitaxi@ymail.com
 
Dah nasikia majonzi sjui kwanini? Bwana awe nawe utapata tu.
 
Weka taarifa zako za kutosha. Je ,umeachana na mwenzi wako,?. Je una watoto?
 
Vyeti vipelekwe kwa Rutashoborwa avipige muhuli akiwa kama lawyer
 
Unataka mwanaume ama unataka elimu ya chuo maana wengine sisi ni akina mulugo unatufikiriaje?
 
Haupo seriaz kwan uko too selective! Hv mume form six hawez kukupa ushauri wa kimaendelea na kukufikisha kileleni? wenye degree wameoa wote anza kulea wa mwaka wa kwanza ili awe wako.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
vigezo ulivyoweka si rahisi kupata, kwani ni wanaume wachache ambao hawajaoa kwa umri huo
 
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani.

Dini yangu ni mkristo

Yeyote aliye tayari na serious email address yangu ni:

julitaxi@ymail.com

Shehe Farid atakufaa kaenda chuo cha madrasa hadi kawa shehe Salamu hii ikifika kwa uamsho watafurahia sana
 
Unatafuta Mchumba na sio Mume.. Oh Hii Imekaa vizuri sasa vigezo vyote hivyo vya nini wakati wewe unataka Mdinyo tu.... bora ungesema unatafuta mwenye size kubwa au ya kati uenjoy life yako ya madhambi iliyobakia hapa duniani..

Weka namba yako ya simu na si e mail kama za wale wa nigeria na senegal tusikie sauti yako kama ni ya kimahaba.... isije kuwa una bass wewe
 
Mlikuwa wapi siku zote hizo hadi leo hope unamiaka 30+ duh yaani siku hizi watu wanajiandalia mapema hao wazee wanataka watoto sasa ww mzee kama hukuwa nae kaa hivyo milele.
Too selectiveeee hupati mtu hapa
 
Nionavyo mie punguza kigezso cha degree coz wengi wa aina hiyo utawakuta wameshaoa kinachotakiwa ni mume mnayeweza kushauriana katika maisha,inaonesha ulikuwa selective toka zamani umestuka muda unapita ndo ukaa mua uweka tangazo la namna hyo.Usiwe selective ila tafuta mume mnayeweza ishi naye vizuri,mbona nina rafiki angu wa kike mume wake ni darsa la saba tu lakini maisha yao ni mazuri sana,na dada ni degree holder PSPA.
 
Kuwa muwazi bhana, unataka mwenye kazi nzuri au unataka mwenye digrii? Manake wapo kibao wenye digrii lakini wako vijiweni na mission town je utawataka?
 
bi dada weka vigezo vyako kwanza, biashara matangazo...we unadhani huyo unayemtafuta atavutiwaje na wewe...kama ni email address hata Bi Kiroboto anayo...
 
Back
Top Bottom