Natafuta Mchumba

Natafuta Mchumba

SJUMAA26

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
607
Reaction score
168
Nina miaka 29, nina elimu ya kiwango cha shahada ya kwanza, nafanya kazi na naishi Dar. Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo:-
  1. Umri kati ya miaka 18 - 25
  2. Elimu sio chini ya kidato cha nne
  3. Mwenye tabia nzuri na mwenye kuheshimu maadili ya kitanzania
  4. Asiwe na mtoto au aliyewahi kuachika katika ndoa

Aliye na sifa hizo na mwenye nia thabiti ani-pm. Wapita njia siwahitaji, labda wajaribu kwingine.
 
We jinsia gani?na unataka m2 wa jinsia gani?angalia ucje olewa ulihali ulikuwa unataka kuoa!
 
Nimependa jinsi ulivyojieleza. Umejitahidi sio kama wengine wanatuandikia VI-CV vichache.
NADHANI UPO SERIOUS.
 
Back
Top Bottom