Nina miaka 29, nina elimu ya kiwango cha shahada ya kwanza, nafanya kazi na naishi Dar. Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo:-
Aliye na sifa hizo na mwenye nia thabiti ani-pm. Wapita njia siwahitaji, labda wajaribu kwingine.
- Umri kati ya miaka 18 - 25
- Elimu sio chini ya kidato cha nne
- Mwenye tabia nzuri na mwenye kuheshimu maadili ya kitanzania
- Asiwe na mtoto au aliyewahi kuachika katika ndoa
Aliye na sifa hizo na mwenye nia thabiti ani-pm. Wapita njia siwahitaji, labda wajaribu kwingine.