S SJUMAA26 JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 607 Reaction score 168 Jan 14, 2013 #1 Nina miaka 29, nina elimu ya kiwango cha shahada ya kwanza, nafanya kazi na naishi Dar. Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo:- Umri kati ya miaka 18 - 25 Elimu sio chini ya kidato cha nne Mwenye tabia nzuri na mwenye kuheshimu maadili ya kitanzania Asiwe na mtoto au aliyewahi kuachika katika ndoa Aliye na sifa hizo na mwenye nia thabiti ani-pm. Wapita njia siwahitaji, labda wajaribu kwingine.
Nina miaka 29, nina elimu ya kiwango cha shahada ya kwanza, nafanya kazi na naishi Dar. Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo:- Umri kati ya miaka 18 - 25 Elimu sio chini ya kidato cha nne Mwenye tabia nzuri na mwenye kuheshimu maadili ya kitanzania Asiwe na mtoto au aliyewahi kuachika katika ndoa Aliye na sifa hizo na mwenye nia thabiti ani-pm. Wapita njia siwahitaji, labda wajaribu kwingine.
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Jan 14, 2013 #2 We muislamu eeehh?
Tamatheo JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,298 Reaction score 1,560 Jan 14, 2013 #3 Safari njema ndg
S SJUMAA26 JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 607 Reaction score 168 Jan 14, 2013 Thread starter #5 Brain Master said: we he or she Click to expand... Me ni He (mwanaume).
S Suma Jengi Member Joined Jan 7, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Jan 15, 2013 #6 We jinsia gani?na unataka m2 wa jinsia gani?angalia ucje olewa ulihali ulikuwa unataka kuoa!
Anthonio JF-Expert Member Joined Oct 26, 2012 Posts 202 Reaction score 21 Jan 16, 2013 #7 Nimependa jinsi ulivyojieleza. Umejitahidi sio kama wengine wanatuandikia VI-CV vichache. NADHANI UPO SERIOUS.
Nimependa jinsi ulivyojieleza. Umejitahidi sio kama wengine wanatuandikia VI-CV vichache. NADHANI UPO SERIOUS.