K kakisungu Member Joined Jan 23, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Jan 23, 2013 #1 natafuta mchumba,pia elimu iwe kuanzia kidato cha.iv na awe anajishughulisha ili tuweze kuya jenga vizuri mpaka kufikia lengo la kuitwa mke.tuwasiliane kwa namba 0715696534/0765863532
natafuta mchumba,pia elimu iwe kuanzia kidato cha.iv na awe anajishughulisha ili tuweze kuya jenga vizuri mpaka kufikia lengo la kuitwa mke.tuwasiliane kwa namba 0715696534/0765863532
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,371 Jan 23, 2013 #2 maisha magumu jamani sio siri
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,371 Jan 23, 2013 #3 Kwakua unahitaji anayejishughulisha tu na hujataja shughuli subiri wanakuja:becky:
N Ndala ndefu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 237 Reaction score 42 Jan 23, 2013 #4 Sasa wewe ni me au ke? Kama ni me subiri utongozwe ndo utajifunza kuwa unatoa maelezo yakutosha na yanayoeleweka!
Sasa wewe ni me au ke? Kama ni me subiri utongozwe ndo utajifunza kuwa unatoa maelezo yakutosha na yanayoeleweka!
IGUDUNG'WA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2011 Posts 2,071 Reaction score 1,317 Jan 23, 2013 #5 mkuu jinsia mbona hujataja? au yoyote atakaetokea wewe poa tu?
A AFRICAN BOY Member Joined Jan 30, 2013 Posts 64 Reaction score 6 Jan 30, 2013 #6 Jiweke wazi ndugu kwanza hatujakuelewa wewe unajinsia gani?