Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

kakisungu

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
9
Reaction score
0
natafuta mchumba,pia elimu iwe kuanzia kidato cha.iv na awe anajishughulisha ili tuweze kuya jenga vizuri mpaka kufikia lengo la kuitwa mke.tuwasiliane kwa namba 0715696534/0765863532
 
Kwakua unahitaji anayejishughulisha tu na hujataja shughuli subiri wanakuja:becky:
 
Sasa wewe ni me au ke? Kama ni me subiri utongozwe ndo utajifunza kuwa unatoa maelezo yakutosha na yanayoeleweka!
 
mkuu jinsia mbona hujataja? au yoyote atakaetokea wewe poa tu?
 
Back
Top Bottom