Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
- Thread starter
-
- #21
Kuna dada namfahamu yupo maeneo ulipo,ni muda mrefu sana anatafuta mtu wa kumuoa ila bahati huwa haiji kwake kwani ni mlemavu wa miguu yote pia macho hayafanyi kazi ila nitajaribu kuwasiliana nae ili akutafute na natumai Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wako na wana JF tutakuja kufurahi nawe ewe mzalendo wa mapenzi ya dhati.
Polisi ben si uchokozi ninakwambia jambo la ukweli kabisa na kwa kuwa wewe ni member mwenzangu humu JF nina dhamira ya dhati kabisa kukupa mke aliye bora.acha uchokozi bana
Kuna dada namfahamu yupo maeneo ulipo,ni muda mrefu sana anatafuta mtu wa kumuoa ila bahati huwa haiji kwake kwani ni mlemavu wa miguu yote pia macho hayafanyi kazi ila nitajaribu kuwasiliana nae ili akutafute na natumai Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wako na wana JF tutakuja kufurahi nawe ewe mzalendo wa mapenzi ya dhati.
Polisi ben si uchokozi ninakwambia jambo la ukweli kabisa na kwa kuwa wewe ni member mwenzangu humu JF nina dhamira ya dhati kabisa kukupa mke aliye bora.
Ombi lako Polisi ben ni kutafuta mchumba na mchumba huyo tayari umepata maelezo yake ya mwanzo na kilichobaki ni kwa wewe kukutana nae mmalizane ili muishi kama mke na mume.simtaki,cjaomba unitafutie,ukarimu gani huo mkuu,acha
Ombi lako Polisi ben ni kutafuta mchumba na mchumba huyo tayari umepata maelezo yake ya mwanzo na kilichobaki ni kwa wewe kukutana nae mmalizane ili muishi kama mke na mume.
Polisi ben sijakushikia bango ila natimiza matakwa yako na ya dada mrembo ili muweze kuishi pamoja kwa shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe,kama nafanya vibaya basi nisamehe ila dhamira yangu ni ya dhati kabisa mkuu.leo umeamua kunishikia bango,haya poa bana.
Polisi ben sijakushikia bango ila natimiza matakwa yako na ya dada mrembo ili muweze kuishi pamoja kwa shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe,kama nafanya vibaya basi nisamehe ila dhamira yangu ni ya dhati kabisa mkuu.
Mapenzi hayajali kama mtu ni mlemavu ama vipi,na ndio maana ninataka kukupa wewe maana hata kama ukimpata mzima ana viungo vyote na ikitokea akapata ajali na kupoteza viungo vyake,tuseme utamwacha Polisi ben?unaonaje ukimtafutia mlemavu mwenzake,bible inasema unapewa wa kufanana nawe
Naitwa Ben,{32yrs} mfanyakazi pia nafanya biashara,home ni bongo"changanyikeni ila kwa sasa niko motown kikazi,natafuta mchumba mwenye umri kuanzia 20-29 aliyetayari atume sms hapa +255762229824 sipendi utani.akiwa motown au arusha ni bomba zaidi.
Wewe, mchumba hatafutwi kwenye mtandao. Nenda IFM au UD, mabinti kibao, wa kumwaga. unapoteza muda wako bure hapa ndani.
Duh bahati ishanipita mie naishi Mkanyageniiii.
Kwani mtaani kwako unaishi na miti tu au? nashindwaga kuamini style hii ya kutafuta wapenzi online.
mkanyageni ni jina la mtaa Tangakuolewa ni kukanywaga. inaonesha unafaa zaidi kwa vile unauzoefu