habari zenu,Mi ni binti wa miaka 28,natafuta mchumba ambae Mungu akijalia atakua mume,awe na umri kuanzia 30 na kuendelea,awe mlokole,anayefanyakazi yeyote inayomuingizia kipato.kabila lolote,mi nina fanya kazi serikalini,tukijuana tutapeana contact,kwa mawasiliano atumie email hii.sundy.joseph@ymail.com
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
habari zenu,mi ni binti wa miaka 28,natafuta mchumba ambae mungu akijalia atakua mume,awe na umri kuanzia 30 na kuendelea,awe mlokole,anayefanyakazi yeyote inayomuingizia kipato.kabila lolote,mi nina fanya kazi serikalini,tukijuana tutapeana contact,kwa mawasiliano atumie email hii.sundy.joseph@ymail.com
sent from my blackberry 9780 using jamiiforums