Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Mafranku

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
12
Reaction score
3
habari zenu,Mi ni binti wa miaka 28,natafuta mchumba ambae Mungu akijalia atakua mume,awe na umri kuanzia 30 na kuendelea,awe mlokole,anayefanyakazi yeyote inayomuingizia kipato.kabila lolote,mi nina fanya kazi serikalini,tukijuana tutapeana contact,kwa mawasiliano atumie email hii.sundy.joseph@ymail.com

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Karibu jamvini Mafranku, hili si lake!!!! Good luck...
 
Karibu sana JF. Mods peleka jukwaa husika.
 
Karibu sana JF...kila la kheri!!!
 
habari zenu,Mi ni binti wa miaka 28,natafuta mchumba ambae Mungu akijalia atakua mume,awe na umri kuanzia 30 na kuendelea,awe mlokole,anayefanyakazi yeyote inayomuingizia kipato.kabila lolote,mi nina fanya kazi serikalini,tukijuana tutapeana contact,kwa mawasiliano atumie email hii.sundy.joseph@ymail.com

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Wakaribishwa..
Embu ulizia jukwaa la MMU sub-section ya Love connect.....Halafu huko kanisani unaposali hujapata mchumba...?
 
habari zenu,mi ni binti wa miaka 28,natafuta mchumba ambae mungu akijalia atakua mume,awe na umri kuanzia 30 na kuendelea,awe mlokole,anayefanyakazi yeyote inayomuingizia kipato.kabila lolote,mi nina fanya kazi serikalini,tukijuana tutapeana contact,kwa mawasiliano atumie email hii.sundy.joseph@ymail.com

sent from my blackberry 9780 using jamiiforums

utapata tu.......
 
Karibu jf,utapata more than fiancee humu
 
karibu sana.kila laheri katika unachokitafta
 
Back
Top Bottom