Madomo zege utawajua tu kutongoza huwezi au hapo unapoishi hamna mabinti.
Duh!!!! mabinti tena kwani hii tanzania inaruhusiwa!!!!!Madomo zege utawajua tu kutongoza huwezi au hapo unapoishi hamna mabinti.
Wewe hujaisoma hiyo thread hadi mwisho? Yeye amekwambia yeye ni msichana wa miaka 28, anataka mchumba, hiyo maana yake anataka mume,wewe molenbe unasema hapo kwao hakuna mabinti? Kweli katika watu hamnazo hapa TZ, wewe utakuwa ndani ya hiyo list!!Madomo zege utawajua tu kutongoza huwezi au hapo unapoishi hamna mabinti.
Kwani amekwambia anataka msagaji??!!Madomo zege utawajua tu kutongoza huwezi au hapo unapoishi hamna mabinti.
Madomo zege utawajua tu kutongoza huwezi au hapo unapoishi hamna mabinti.
kwa hiyo unataka awe msagaji au una maanisha nini!Madomo zege utawajua tu kutongoza huwezi au hapo unapoishi hamna mabinti.
Bora ukatafute kanisani kama unataka mlokole, ushauri tu!
Well said Evelyn Salt! Pole Mafranku... hapa waweza kupata basi asiwe wa vigezo unavyotaka, pia kaa tayari kukutana na drama za kutosha.
Kwanini usitafute kanisani, ktk warsha na mikutano mbalimbali ya vijana, ,makongamano na mikusanyiko ya aina hii. Mungu akutangulie upate haja ya moyo wako.