Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Mafranku

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
12
Reaction score
3
Habari zenu wapendwa,Mimi ni msichana wa kikristo mwenye miaka 28,naishi dar,nafanyakazi serikalini,natafuta mchumba,awe mlokole,awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea,awe ana kazi yoyote inayomuingizia kipato,kwa atakayekua tayari tuwasiliane kwa e.mail hii:sundy.joseph@ymail.com.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Madomo zege utawajua tu kutongoza huwezi au hapo unapoishi hamna mabinti.
 
Nipo tayari ila sina kazi lakini vigezo unavyotaka nimetimia.Uko tayari nikutafute?
????????????????? ???????????
 
Madomo zege utawajua tu kutongoza huwezi au hapo unapoishi hamna mabinti.
Duh!!!! mabinti tena kwani hii tanzania inaruhusiwa!!!!!

Vp dada umeshindwa kuomba ili mungu akuonyeshe,hofu yangu humu kwenye mitandao waweza kamata dudu!!!
 
Madomo zege utawajua tu kutongoza huwezi au hapo unapoishi hamna mabinti.
Wewe hujaisoma hiyo thread hadi mwisho? Yeye amekwambia yeye ni msichana wa miaka 28, anataka mchumba, hiyo maana yake anataka mume,wewe molenbe unasema hapo kwao hakuna mabinti? Kweli katika watu hamnazo hapa TZ, wewe utakuwa ndani ya hiyo list!!
 
Dada kila la heri ila, tangaza hii kanisani kwenu au wote wameshaoa au hawana hivi vigezo?
 
Bora ukatafute kanisani kama unataka mlokole, ushauri tu!

Well said Evelyn Salt! Pole Mafranku... hapa waweza kupata basi asiwe wa vigezo unavyotaka, pia kaa tayari kukutana na drama za kutosha.

Kwanini usitafute kanisani, ktk warsha na mikutano mbalimbali ya vijana, ,makongamano na mikusanyiko ya aina hii. Mungu akutangulie upate haja ya moyo wako.
 
Last edited by a moderator:

Humu atapata wagegedaji tu....!!!!
 
Back
Top Bottom