Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

malifimbo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
127
Reaction score
29
Mimi ni kijana wa miaka 25 nasoma chuo kikuu mwaka wa mwisho now.natafuta girlfriend ambaye badae atakuwa my wife nipo serious na hili.kwa sasa nipo chuoni dar na juni mwezi ujao nahitimu shahada yangu.mimi ni mkristo

napenda msichana mwenye kujiheshimu na mwenye kufikiri mbali,awe mkristo miaka kuanzia 19-28,asiwe mnene ,awe naelimu kuanzia form six na kuendelea
 
I think nitamsaidia mwanangu kutafuta mchumba, maana nimekuonea huruma jinsi ulivyo serious; kiasi kwamba nimeona umuhimu wa mila za zamani.
snowhite, nitumie picha za binti zako nianze kumuintroduce kiddushka kwa summer holiday Sikonge kijijini KIKUNGU.

Cc😡kongosho, King'asti, Ablessed, Dark City etl.
 
Last edited by a moderator:
Sasa babangu, hapo chuo na hata kanisani unaposali umekosa kabisa kabisa mdada mwenye sifa hizi? Umeshindwa hata kufukuzia first year ukampata?

Kaunga, nakubaliana na wewe kabisa. Vijana wanashindwaje kutafuta wachumba tena chuoni? Mi najua nikienda chuo tu napata kama ni mchumba, kidumu, buzi you name it lol. Hata na uzee huu haijalishi!
 
hii inaitwa blind mtongozo, acha dogo ajiachie, huko kote hajaona now kafumba macho amekujakupiga ana ana do..!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmh akili yangu huwa hainiruhusu kuamini hizi scenarios. Mchumba wa pm? Haya bwana ngoja nisogelee menopause kwa taratibu.
hii inaitwa blind mtongozo, acha dogo ajiachie, huko kote hajaona now kafumba macho amekujakupiga ana ana do..!!!!!!
 
Mmh akili yangu huwa hainiruhusu kuamini hizi scenarios. Mchumba wa pm? Haya bwana ngoja nisogelee menopause kwa taratibu.

inawezekana wakawepo ila wale wenye inferior quality na walio kata tamaa ya kutongozwa
 
Wewe kijana, umri wako miaka 25 na unataka mchumba kuanzia miaka 19 hadi 28; ina maana uko tayari kumpokea wa miaka 26, 27 na 28. Inashangaza na wakati huo huo kupendeza, endelea na malengo yako!!!
 
Sasa babangu, hapo chuo na hata kanisani unaposali umekosa kabisa kabisa mdada mwenye sifa hizi? Umeshindwa hata kufukuzia first year ukampata?

Kaunga, nakubaliana na wewe kabisa. Vijana wanashindwaje kutafuta wachumba tena chuoni? Mi najua nikienda chuo tu napata kama ni mchumba, kidumu, buzi you name it lol. Hata na uzee huu haijalishi!

Hivi hawa wajukuu zetu ni wazima kweli?

Halafu akishampata kwa PM na ndoa wanaiendesha kwa PM pia?

Naona woga wa kukabiliana na wenzi uso kwa uso unazidi kuwa kama ka - epidermic kanakotishia uhai wa wajukuu..

Babu DC!!
 
I think nitamsaidia mwanangu kutafuta mchumba, maana nimekuonea huruma jinsi ulivyo serious; kiasi kwamba nimeona umuhimu wa mila za zamani.
snowhite, nitumie picha za binti zako nianze kumuintroduce kiddushka kwa summer holiday Sikonge kijijini KIKUNGU.

Cc😡kongosho, King'asti, Ablessed, Dark City etl.
ehehehehhehehhhehe sipati picha hao wajukuu watakavokuwa kama mabibi wenyewe ndo tutakuwa mimi na wewe!
BTW im serious joh!will send thm naomba na namba ya simu kabisa waanze kusalimiana!
 
Back
Top Bottom