banizle
JF-Expert Member
- Dec 15, 2008
- 217
- 58
Mm ni kijana wa kiume wa miaka 27 ni mfanya biashara katika mikoa ya dodoma na morogoro. Nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta mwanamke ambaye mwisho wa siku nifungenae pingu za maisha. Umri usiozidi miaka 33. Akitokea morogoro itakua vizuri zaidi. PM If ur interested.