Natafuta mchumba

Jamani bado mnamshambulia tu huyu pen pal? Anafanyia kazi application zake jamani si mnamuona alivokimya? Inawezekana alikuwa serious huyu mtu lol
 

I bet atakuwa hakumbuki hata moja katika haya
 
Dorin
Kama mchumba mwenyewe ni style ya avatar yako, vifaa vya Jerry Muro muhimu -pingu, bastola na miwani. Bahati mbaya sina hata kimoja, ila hao 104 nadhani baadhi wanavyo
amigo!!
 
very good wewe uko serious kiukweli haya wanaume mlosingle habu mjitose hapo no bla bla
sijui itakuwa True love hiyo au?
 


Ni PM mm wewe.
 
ww ni dini dhehebu gani?
Kabila gani?
Na unataka mume wa umri gani?
Na mwenye elimu kiwango gani hata kama hana kazi?
 

Hongera sana, unaonyesha umejikomboa kifikra. Maana kila mtu anataka si mwanaume si mwanamke. Kuonyesha nia ni wajibu wa wote, ama sivyo kukaa kimya utakuta mwana si wako.

May God lead you towards achieving your wish at the bottom of your heart. Wababaishaji wapo na watu makini wapo. Usitishike na hoja za mizaha, wa kwako yupo tu. Usisahau kusali na ikibidi maombi ya kuhamisha milima, maana suala unalolitaka si mchezo.

Leka
 
Thanks alot! I think The applications are enough now! please let me read the 104 private massages first. Wakuu aplications zimetosha! Asanteni sana. For those who have Sent me PMs Expect your repplies in two weeks time. Asanteni sana jamani.
umetoa deadline mapema mno dada yangu kwa ushauri, unaweza kuta ambao umepiga stop ndo angekuwapo ambaye ni serious zaidi na pia mwenye vigezo uvitakavyo. All the best lakini.
 
Toa contact kunawengine wako serious lakini hawataki kuweka hadharani
 
ha ha haa Hii thread,

Dada Dorin nakuombea kwa Mola umpate wa kweli na akufaaye maishani

Guys,sometimes try to take some other people's business seriously.
 
ha ha haa Hii thread,

Dada Dorin nakuombea kwa Mola umpate wa kweli na akufaaye maishani

Guys,sometimes try to take some other people's business seriously.
..hii sredi ndo yenyewe sasa!...lol
 
marriage is the only war where you sleep with your enemy

Jamani acheni kucheza na akili zetu!! hiyo signature yako inaonyesha kabisa you are playing with our minds! if anybody did believe you! should think twice! Hivi hamjaona hii signature? Huyu anafaa kuolewa kweli. For that avatar am speechless!
 
Dada kama ni wewe chini ya hilo liamvuli jekundu (kwenye avatar yako)..basi inaonekana unalipa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…