Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, uko tayari kueleza ukweli juu ya mada hii "Your sexual history", (if any); bila shaka utampata anayekufaa. Tafadhali, hii itaonesha jinsi utakavyokuwa mkweli, muwazi na mwaminifu kwenye ndoa hiyo:
Taarifa hizi zitawasaidia wadau kufanya maamuzi
- names and number of your past partners; things you loved from them, reasons for separations, time of staying with each, stages of partnerships, your current minds about them ....
- unsafe sex practices; such as oral sex, tiGO sex, business sex (prostitution), self sex (masturbation) ....
- what you did and not did with others; whether you ever killed, steal, going to night clubs, .....
- your viginity; how much are you vigin, ....
- abortion practices; number of abortions, reasons for each, how, outcomes, their fathers, .....
- childhood abuse; how much, by/to whom, how does it come, effects, ....
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!
Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!
I bet atakuwa hakumbuki hata moja katika haya
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!
Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!
umetoa deadline mapema mno dada yangu kwa ushauri, unaweza kuta ambao umepiga stop ndo angekuwapo ambaye ni serious zaidi na pia mwenye vigezo uvitakavyo. All the best lakini.Thanks alot! I think The applications are enough now! please let me read the 104 private massages first. Wakuu aplications zimetosha! Asanteni sana. For those who have Sent me PMs Expect your repplies in two weeks time. Asanteni sana jamani.
hahahahaWatu wa TISS naona wameshaanza vitu kuelekea 2010..lolz
kwa vipi Mkuu,fafanua.Watu wa TISS naona wameshaanza vitu kuelekea 2010..lolz
Mazee vipi majibu,ni +?hauko serious wewe! Jibu ya kwangu mapema zaidi ukiweza
..hii sredi ndo yenyewe sasa!...lolha ha haa Hii thread,
Dada Dorin nakuombea kwa Mola umpate wa kweli na akufaaye maishani
Guys,sometimes try to take some other people's business seriously.
marriage is the only war where you sleep with your enemy
kwa vipi Mkuu,fafanua.