Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

dorin

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2010
Posts
267
Reaction score
285
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!

Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!
 
Watu wa TISS naona wameshaanza vitu kuelekea 2010..lolz
 
mmh dada wapo ngoja waje...jaribu kucheck nao j3
 
Haya kwa wale wanaopenda kulelewa hapo fasta jamani mtoto kasema hata wasio na kazi kwake ni poa tu ana uwezo wa kumlea. Madenti vipi sis nao ruksa katika category zako? Manake watamiminika wengi na application hapa.

NB: Mchujo utapita kwa wakware
 
NiPM picha yako hasa ukiwa umeonyesha maeneo ya Mgongo!
 
Hahahah kuona kama ile idara analipa ili wengine tufike bei na posa!

Lakini mkuu wewe si uko booked tayari au unataka kufanya mambo ya multiple bookings? Mhhh, labda ni somo ulilopata Zenji!
 
Hahahahaha mkuu huwa najisahau ila wakati mwingine twala kwa macho teh teh teh
 
Thanks alot! I think The applications are enough now! please let me read the 104 private massages first. Wakuu aplications zimetosha! Asanteni sana. For those who have Sent me PMs Expect your repplies in two weeks time. Asanteni sana jamani.
 
He he ..vidume humu vinaonekana ni madomo zege, ujanja wa kugombana na keyboard tu. Haya expect to hear from TISS sooner than that. 😀 😀
 
Thanks alot! I think The applications are enough now! please let me read the 104 private massages first. Wakuu aplications zimetosha! Asanteni sana. For those who have Sent me PMs Expect your repplies in two weeks time. Asanteni sana jamani.

Aya weee kuna jamaa yangu anavigezo hivyo vyote nimemwambia akasema yuko mbioni kuandiaka CV aitume, vip kachelewa dadaaaa
 
hauko serious wewe! Jibu ya kwangu mapema zaidi ukiweza
 
Nimepata applications nyingi. Actually among these applications I have one guy who is actually more than serious!! Asante kwa mwanzilishi wa JF.
 
Thanks alot! I think The applications are enough now! please let me read the 104 private massages first. Wakuu aplications zimetosha! Asanteni sana. For those who have Sent me PMs Expect your repplies in two weeks time. Asanteni sana jamani.

Dorini,

Hukuweka deadline kwenye tangazo lako na kwa hiyo hautakuwa unatenda haki kuwafungia watu ambao bado wanajiandaa ikiwemo kupiga picha mara mia mia kama former presida wetu Nkapa! Nakushauri uendelee kupokea maombi. Pia upitie basi thread za watu na kuwapa majibu. Mshikaji wangu Masa bado anasubiri picha ya upande wa nyuma (siyo mbele, hahahaha). Mtendee haki basi. Anaweza kuwa ndo mume mwenyewe huyo!!!🙄🙄
 
hauko serious wewe! Jibu ya kwangu mapema zaidi ukiweza

For Those required my Photos. They are all automatically disqulified! kama ulitaja picha usitarajie jibu please!!
 
Dorini,

Hukuweka deadline kwenye tangazo lako na kwa hiyo hautakuwa unatenda haki kuwafungia watu ambao bado wanajiandaa ikiwemo kupiga picha mara mia mia kama former presida wetu Nkapa! Nakushauri uendelee kupokea maombi. Pia upitie basi thread za watu na kuwapa majibu. Mshikaji wangu Masa bado anasubiri picha ya upande wa nyuma (siyo mbele, hahahaha). Mtendee haki basi. Anaweza kuwa ndo mume mwenyewe huyo!!!🙄🙄

Utulivu=0
Masa. Am Really Serious.
Its my life am Talking about. Just take me seroius.
Thanks again For The PMS Guys.
 
Back
Top Bottom