Miye mwembamba ka jini kabula utanikubali??? I
basi mie simo...ni nimo katika hayo makabila mawili
ila vigezo vyote nimetick...
Kila la kheri bana...Mode watakupeleka Love connect
Mi mfipa na nakidhi vigezo vyote bt vyangu utaikidti?
hebu weka wasifu wako na wewe!!
Naamini jamvi hili ni mojawapo ya njia rahisi sana ya kunikutanisha na aina ya mtu nayemtaka
Sifa
Awe mkristo
Umri miaka 25 hadi 28
Mwembamba rangi yeyote ila mkorogo sitaki
Elimu form four na kuendelea
Kabila lolote ila mzaramo na mmakonde sitaki.
Inbox me tuanze kazi hapa.
vigezo vyote ninavyo kasoro mkorogo yani naukoroga hasa wema nyuma!!!