Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Sgaga

Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
76
Reaction score
13
Naamini jamvi hili ni mojawapo ya njia rahisi sana ya kunikutanisha na aina ya mtu nayemtaka
Sifa
Awe mkristo
Umri miaka 25 hadi 28
Mwembamba rangi yeyote ila mkorogo sitaki
Elimu form four na kuendelea
Kabila lolote ila mzaramo na mmakonde sitaki.

Inbox me tuanze kazi hapa.
 
^^
Wamakonde/Wazaramo> SIGN OUT
Teh teh kila la kheri
Mkuu
^^
 
basi mie simo...ni nimo katika hayo makabila mawili

ila vigezo vyote nimetick...

Kila la kheri bana...Mode watakupeleka Love connect
 
Miye mwembamba ka jini kabula utanikubali??? I
 
vigezo vyote ninavyo kasoro mkorogo yani naukoroga hasa wema nyuma!!!
 
weka picha tukuone usituuzie mbuzi kwenye gunia.
 
Naamini jamvi hili ni mojawapo ya njia rahisi sana ya kunikutanisha na aina ya mtu nayemtaka
Sifa
Awe mkristo
Umri miaka 25 hadi 28
Mwembamba rangi yeyote ila mkorogo sitaki
Elimu form four na kuendelea
Kabila lolote ila mzaramo na mmakonde sitaki.

Inbox me tuanze kazi hapa.

Mbona hujasema kama wewe nimrembo mnono au dume la mbegu?
Natafuta mchumba..............................
 
Back
Top Bottom