wewe hutafaa umekosa hata hii sifahapo nina sifa mbili tu,,,, umri na akili ya maisha!!!!! will u consider me????
Kila la Kheri ndugu ila kuna majanga pia chunga kuwa mpole mvumilivu subira na kutoshoboka ukimpata humu narudiaa humu nenda nae pole pole Kama mwongo atakimbia mwenyewe kuna watu wanataka fasta wasikuteke KOSEA VYOTE ILA SI KUOA
Aisee itabidi nikupe wangu mmoja,manake wamezizidi ila kana miaka 20 kaka..damu inachemka,kama umezoea vi2 yeye huwa hatosheki bila kuanzia 6 hujamtisheleza...sifa kuu ni kuwa ni mzuri!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
tafuta shemasi akutafutie mke, hapa Msabato si maharipake soma kanuni na mbinu za kutafu mchumba za kanisa moja inasema umfahamu kwa mdamulefu, utii na tabia njema, humu JF utawafahamu vipi?, kumbuka wanawake sasa wako kibiashara zaidi.
Sabato njema. Siamini sana kama mke mwema anaweza patikana ktk mitandao japo inawezekana!? Nachokushauri, hebu rudi katka utaratibu wa kanisa ktk kutafuta mchumba. Anzia kanisani kwako, ukikosa chukua barua kanisa katafute ktk makanisa mengine. Vilevile penda sana kuhudhuria ktk mikutano mbali mbali ya vijana. Kumbuka "mke mwema hutoka kwa MUNGU". Bwana akutangulie ktk adhima yako hiyo.
Kwa upande wangu kifupi.
-Jinsia: Mwanaume/ME
-Umri wangu miaka 30.
-Kwa wapenda nyota mimi ni Gemini (17/june)
-Imani:Mwadventista Msabato
-Kazi: Mwajiriwa na ujasiriamali kidogo ndio unaanza.
-Kabila: Mchaga
Upande wa mtafutwaji
-Jinsia: Mwanamke/KE
-Imani: Mwadventista Msabato, au anayeelekea kuwa Mwadventista.
Kabila-lolote ila mpare, msukuma, mchaga will be more considered
-Umri: wowote, ila usivuke 30. Hata hivyo akiwa 24-27 itakuwa safi zaidi.
-Kama ana mtoto 1 sawa.
-Kazi: sio lazima maana kazi zinatafutwa. Ila akiwa mwalimu nitafurahi zaidi.
-Awe mtu mwenye akili ya 'maisha ni popote'. Sio 'Dar oriented mind'.
Karibuni kwenye PM.
BWANA MUNGU IKIWA UMEIONA NIA YANGU YA DHATI, BASI NIPATIE SAWA SAWA NA MAPENZI YAKO.