Natafuta mchumba!!

Natafuta mchumba!!

Okk nimekuelewa ndg.. Nakutakia kila kher na Mungu akupe haja ya moyo wako.
 
Mwenzenu bado sijafahamu kama mleta mada mke au mume. Nakiri amejieleza vizuri sana ila kipengele hicho sijakiona ingawa naona wenzangu wanajadili kama wanamfahamu vile!
 
All the best,nimemiss quality ya dini na ualimu
 
Mwenzenu bado sijafahamu kama mleta mada mke au mume. Nakiri amejieleza vizuri sana ila kipengele hicho sijakiona ingawa naona wenzangu wanajadili kama wanamfahamu vile!

Asante kwa kunikumbusha. Nimekiweka tayari mkuu.
 
Kila la Kheri ndugu ila kuna majanga pia chunga kuwa mpole mvumilivu subira na kutoshoboka ukimpata humu narudiaa humu nenda nae pole pole Kama mwongo atakimbia mwenyewe kuna watu wanataka fasta wasikuteke KOSEA VYOTE ILA SI KUOA
 
Nashukuru sana kwa angalizo mkuu. Nitazingatia sana hili kiongozi.
 
Aisee itabidi nikupe wangu mmoja,manake wamezizidi ila kana miaka 20 kaka..damu inachemka,kama umezoea vi2 yeye huwa hatosheki bila kuanzia 6 hujamtisheleza...sifa kuu ni kuwa ni mzuri!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kaka huyo mmoja mwanao au moja ya 'side mirrors'?
 
babe S..asante sana na pole.
 
Last edited by a moderator:
Sabato njema. Siamini sana kama mke mwema anaweza patikana ktk mitandao japo inawezekana!? Nachokushauri, hebu rudi katka utaratibu wa kanisa ktk kutafuta mchumba. Anzia kanisani kwako, ukikosa chukua barua kanisa katafute ktk makanisa mengine. Vilevile penda sana kuhudhuria ktk mikutano mbali mbali ya vijana. Kumbuka "mke mwema hutoka kwa MUNGU". Bwana akutangulie ktk adhima yako hiyo.
 
tafuta shemasi akutafutie mke, hapa Msabato si maharipake soma kanuni na mbinu za kutafu mchumba za kanisa moja inasema umfahamu kwa mdamulefu, utii na tabia njema, humu JF utawafahamu vipi?, kumbuka wanawake sasa wako kibiashara zaidi.
 
Muda mrefu ni upi? Kanuni ipi hiyo na ukurasa gani? Wa kanisani kwako wewe unawafahamu wote na tabia zao? Kwan utakayempata hapa unatangaza ndoa siku hiyo hiyo? Hao unaosema wakanisani na huko kwenye mikutano..unadhani hawatumii JF, au wa huku wametengenezwa na software? Nimeuliza tu ufikiri kwa kina zaidi.
 
Sabato njema. Siamini sana kama mke mwema anaweza patikana ktk mitandao japo inawezekana!? Nachokushauri, hebu rudi katka utaratibu wa kanisa ktk kutafuta mchumba. Anzia kanisani kwako, ukikosa chukua barua kanisa katafute ktk makanisa mengine. Vilevile penda sana kuhudhuria ktk mikutano mbali mbali ya vijana. Kumbuka "mke mwema hutoka kwa MUNGU". Bwana akutangulie ktk adhima yako hiyo.

Walioko kwenye mtandao hawakushushwa humu, ni hao hao wa kanisani kwenu na kwetu wamejiunga humu na mitandao mingine ikiwepo adventist online.
 
Sijakuelewa na hy statement yk ya kuhuse tv@ M.E.M.A. Nieleweshe
 
Kwa upande wangu kifupi.
-Jinsia: Mwanaume/ME
-Umri wangu miaka 30.
-Kwa wapenda nyota mimi ni Gemini (17/june)
-Imani:Mwadventista Msabato
-Kazi: Mwajiriwa na ujasiriamali kidogo ndio unaanza.
-Kabila: Mchaga

Upande wa mtafutwaji
-Jinsia: Mwanamke/KE
-Imani: Mwadventista Msabato, au anayeelekea kuwa Mwadventista.
Kabila-lolote ila mpare, msukuma, mchaga will be more considered
-Umri: wowote, ila usivuke 30. Hata hivyo akiwa 24-27 itakuwa safi zaidi.
-Kama ana mtoto 1 sawa.
-Kazi: sio lazima maana kazi zinatafutwa. Ila akiwa mwalimu nitafurahi zaidi.
-Awe mtu mwenye akili ya 'maisha ni popote'. Sio 'Dar oriented mind'.
Karibuni kwenye PM.

BWANA MUNGU IKIWA UMEIONA NIA YANGU YA DHATI, BASI NIPATIE SAWA SAWA NA MAPENZI YAKO.

Hebu jaribu kuongea na yule aunt mtangazaji aliyepoteza mchumba na mama hivi karibuni kwa tukio la risasi.... sifa nyingi ulizotaja anazo...kila la kheri..
 
Back
Top Bottom