Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,213
- 13,253
Mm ni kjana mwenye miaka 28 nimejitokeza hapa kutafuta mchumba nimeajiliwa serikalin na n mjasilia mali kabila lolote lakn mwalim atapewa kipaumbele na awe mkiristo mwenye uhtaji kama wang ani pm nina iman mwanamke mwema hutoka kwa Mungu lakn atatokea mazngra yoyote. Naomba Mungu asikilize hitaji lang kwasababu ww pekee ndiye njia, mwanga wa ukwel uwezae kumulika mioyo ya watu. NPO SERIOUS NAOMBA ASIYE SERIOUS ASINPM... Ee Mungu sikia ombi langu