mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
utampata
Loading error.....................................!!
endelea kuwait acha mapepe
Hajatokea hadi leo
Wanasubiri utoke stage ya uvulana kwenda uanaume.
Mimi ni mvulana mwenye umr 24 natafuta mtu msichanà alie na 20 yrs ni Pm kama vp sifa awe na tabia njema ............
Toa ujinga wako hapa ,, kwa umri huo kazima utakua na wazazi na hata babu na bibi.. mbona unaidhalilisha familia yako?? mtaani , kanisani, msikitini kwenu umekosa wa kuoa mpaka uje kutafuta vigulunyembe humu? humu kuna magumegume waliyo kubuhu utakuja juza mtoto wangu .. wazazi wako tupo tutakusaidia lakini sio humu tafadhari tupe heshima
Wa huku mtaan hawanitaki
nakuomba sana kijana wangu,, kwa umri huo wewe ni kama mwanangu,, huku hakuna wake... just imagine a girl to accept a man through social media for sure huyo bint atakua ana makubwa sana.... turudi kwenye ethics zetu ka enzi na enzi ,,, nakushauri uende kanisani muone mchungaji au mama wa kanisa,, na kama ww ni muislam please muone imam wako au kiongozi wa akina mama wa kiislam... wanawake wapo tatizo mnawatafutia Bar na Club na huko wa maana hawapatikani... kama unasema wanakukataa basi jichunguze yawezakuwa unatabia mbaya ,, jirekebishe na Allah/God atakujazi
Mm hakuna ata alieni pm
Daah nipm ww bas 2ongeeUuhaahahaaahaaaa!!! unanyota ya ebola
ok waitDogo ni pm nikufundishe kutongoza maana hilo ndio tatizo lako.