IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
- Thread starter
-
- #41
eehh mola sikiliza sala na kilio cha mtulutumbi..mtimizie haja ya moyo wake
mjaalie mke mwema mwenye busara na hekima ili aweze kulea watoto wake katika njia njema inayokufuraisha wewe mjalie mke mwenye kuongozwa na roho wako ili aweze kumshauri vyema katika unyofu na njia ztakazokurudishia utukufu eeh mungu baba!!!
muweke mbali na kina DELILA ili asije akapokonyoka ktk nia yako kwake kumleta ktk ulimwengu u....amen.
Mbona wengine tumeingia kwenye ndoa bila ya kupitia hatua hizo na tupo Alhamdulillah zaidi ya miaka 11 kwenye ndoa zenye furaha na amani tele? Vipi wengine washindwe... kulikoni?
Ilo swala la kuzoeana ndio tatizo, kwani mkioana na kuzoeana mkiwa kwenye ndoa, tatizo ni nini? Na kwa nini kila mara huwe na mawazo hasi, yaani kwanini ufikirie kushindwa?Uzuri wa Ndoa hauthibitiki Kwa Muda Mliokaa Pamoja..Mwaweza kaa miaka 20 lakini Kwa Kuvumiliaaaaaaana MNNNNO!
Ukibeba Mzobemzobe halafu Ukafika Kitandani Humridhishi si Ndo kila siku Hakai Ndani? Ni Bora Tuzoeane mapema ili inapofika Wakati wa Ndoa nnaposema ..YES I DO! Niwe Naimaanisha Kweli! Hayo mambo ya kubebana bebana ni kizamani au umkute Mshamba lakini siyo Mabinti wa kisasa ambao Ukikagua Bikira zao nyingi zina Umri wa Miaka Kumi na zaidi toka ziondolewe! Mimi Natrafuta Mchumba Tutakayezoeana kwanza,,Namaanisha 'Kuzoeana' kama hujui vizuri maana ya 'Kuzoeana' kuna wana JF watakufafanulia. Ndoa Kwangu siyo AJALI.......Ni Plan!
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28.
Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
Ilo swala la kuzoeana ndio tatizo, kwani mkioana na kuzoeana mkiwa kwenye ndoa, tatizo ni nini? Na kwa nini kila mara huwe na mawazo hasi, yaani kwanini ufikirie kushindwa?
wakija 10 wote utawatest kivip
Ni kweli, inawezekana mimi ni mpoli poli kwa uoni wako, lakini huo upoli poli umenisaidia sana kufanya maisha kuwa ya furaha na amani... Hivi huwezi kuishi bila ya kufanya ngono kabla ya ndoa...!? Tabu na mashaka yote hayo ya nini...!? Tafuta mchumba, kisha peleka posa mtazoeana kwenye ndoa.... sioni sababu ya kungonoana kabla ya ndoa... japokuwa inaonekana ndio usasasa lakini ni kinyume na maadili!Japokuwa naweza Kuonekana nafikiria Hasi lakini mimi nakuona wewe ndo mpolipoli unayefikiria Hasi...Yaani hata mimi nakushangaa kwa Mfano Kwa nini Mtu anavaa Kondomu wakati hajui kama anayefanya naye Ngono ni muathirika au La...Kwa nini asifanye Ngono bila Kondomu ili akiathirika ndo aanze Kutumia Kondomu??? Si unaona Huo Ni ukichaa?? So kama Mtu anavyo vaa kondomu kujikinga kuambukizwa hata kama hajui itatokea nini akifanya bila Kondomu..nami Sipendi Kubahatisha Mambo Bwana.....Pre test is important..Kumbuka NDOA SIYO AJALI..Ni Mipango.. Na nikibeba beba tu tukashindwa Kuzoeana kwenye Ndoa?
... japokuwa inaonekana ndio usasasa lakini ni kinyume na maadili!
Nashukuru ndugu yangu kwa kuliona ilo kuwa nimebahatika, lakini hata wewe ukisali na kuomba kwa imani yako, unaweza kumpata mchumba atakae kufaha, bila kufanya naye ngono kwanza ndio ifate ndoa....! Kuhusu mimi sikuwahi kufanya ngono na mke wangu nje ya ndoa, tumekuja kuzoeana baada ya kuoana na tukajaaliwa watoto, ila pia natamani Mwenyezi Mungu aniwezeshe niweze pia kulea (Kuwasili) japo mtoto mmoja aliye yatima...!Niseme tu Umebahatika X Plaster kama unaweza kuishi bila kufanya Ngono..Umebahatika...Na watoto umewapataje Mkuu? Umechukua Yatima? Kama ni Hivyo Hongera sana ...Lakini Kama nilivyo sema awali Mimi nahitaji Kuzoeana na Mchumba wangu Kabla ya Ndoa..Ni Msimamo na Mchumba atakayeona unamfaa anakaribishwa...Laiti Kama ungekuwa Msichana ningeendelea Kukushawishi..Lakini wewe ni Mwanaume..Hivyo silazimiki kukushawishi kwa kuwa kila mtu ana Maisha yake anayotaka kuishi ambayo si Lazima yawe kama Yako Boss. Life experiences zilizonifanya nitake 'Kuzoeana' kabla ya Ndoa Pengine huwajawahi Kuzipitia. Unajua 'Wa shibe hajui kuwa kuna Wa Njaa..' Ni Misemo tu ya Wazee lakini ina maana. So kama wewe umebahatika Mshukuru Mungu
Basi ndugu yangu mimi nakuombea dua kwa Mwenyezi Mungu, ili umpate yule utakaye endana naye, lakini bila kupitia ngono...! Kila la kheri ndugu Mtulutumbi!
sina mbavu finestAtapata lakini cha mchina
Hivi siku hizi kanisani kuna yard za magari? ila nakutakia kila lakheri umpate mchumba mwema mwenye kujishughulisha kipato kiongezeke maradufu maana hiyo basic ya 1.4 kama mke ni golikipa ni kashesheMmh Funza Dume Unanitisha.. Kazi nafanya Nzuri tu ..Mshahara 1.4,Gari Nimeagiza Kanisani..Kimsingi Mdada Hawezi Kulala Njaa ila na yeye ajishughulishe si 'Leta Nimeze tu'.
Mungu kunijaalia nina maana kuwa na uwezo na kipato cha kuweza kuwalea mayatima.Kulea Yatima ni Busara sana yaani huitaji Mungu Kukujalia ni kuamua tu maombi yako ni Mazuri acha nione kama huyo Mola atasikia Dua yako Kwangu..Amen
sina mbavu finest
ukweli mchumbwa hatafutwi kama chumba cha kupanga .
Hivi siku hizi kanisani kuna yard za magari? ila nakutakia kila lakheri umpate mchumba mwema mwenye kujishughulisha kipato kiongezeke maradufu maana hiyo basic ya 1.4 kama mke ni golikipa ni kasheshe
Mungu kunijaalia nina maana kuwa na uwezo na kipato cha kuweza kuwalea mayatima.