IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
- Thread starter
- #41
eehh mola sikiliza sala na kilio cha mtulutumbi..mtimizie haja ya moyo wake
mjaalie mke mwema mwenye busara na hekima ili aweze kulea watoto wake katika njia njema inayokufuraisha wewe mjalie mke mwenye kuongozwa na roho wako ili aweze kumshauri vyema katika unyofu na njia ztakazokurudishia utukufu eeh mungu baba!!!
muweke mbali na kina DELILA ili asije akapokonyoka ktk nia yako kwake kumleta ktk ulimwengu u....amen.
Umri wako uko ndani ya Criteria halafu una Busara sana tunapoengelea issue 'serious' achilia Mbali utofauti katika Siasa Naamini Utanifaa kwani napenda 'Challenge' Nadni ya Nyumba si kama wote tukiwa chama kimoja hatuwezi hata kubishana kidogo so Are You Booked?