Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Loooh. dada yangu Rose1980.............Acha ubahiri..........wenzio wamekushukuru mara 251 lakini wewe umeshukuru mara moja tu .......ka dada Rose1980 walainishie wenzio hicho kiganja ili uwe unabonyezabonyeza hicho kitufe mara kwa mara....................wanadhani jf ndo sokon au mton unaweza tu kuopoa kwa urahisi...mtu anasoma post zako afu anakupimia tu like uyu ni...nikimwambia ivi itakuwa poa.....so wameona weng umu na wanapima kwa post so wanazani watakubaliwa.......!!!!!
Binafsi natafuta kupitia mtandao kwasababu muda mwingi ninakuwa sina muda wakukutana na watu ana kwa ana kutokana na muda mwingi kumezwa na shughuli ninazofanya.
Hivyo basi,nikitumia nafasi hii ni sawa tu;labda wapo wengine wenye kubanwa na muda wa ku-socialize
Ndugu zangu habari za saa hizi
Najua wengi wetu tumeishapona vidonda vya uchaguzi na mimi ndo nimemaliza hekaheka za uchaguzi naweza kupumzka nyumbani. Mapumziko yangu yamenifanya nitafute mwenza wangu wa kunifaa maishani, niliyekuwa naye tumeachana miaka 7 iliyopita aliniachia watoto watatu.
Jamani naomba msaada wenu bila kubezana
Sifa
Awe wa kike umri kuanzia miaka 35-40
awe mcha mungu
awe tayari kupenda watoto wangu na kuwatunza
awe dini yoyote
hasiwe mchuma hela
Natanguliza shukurani
kila la kheri ndugu...hapo kwenye blue pamesababisha nisishiriki kabisa.
:violin:
Ndiyo kijiwe chetu "mfanyia hekaluni hula hekaluni FL"Mbona watu wengi wamekuwa wakitafuta wachumba JF kulikoni?:nono:
Binafsi natafuta kupitia mtandao kwasababu muda mwingi ninakuwa sina muda wakukutana na watu ana kwa ana kutokana na muda mwingi kumezwa na shughuli ninazofanya.
Hivyo basi,nikitumia nafasi hii ni sawa tu;labda wapo wengine wenye kubanwa na muda wa ku-socialize
Ndugu zangu habari za saa hizi
Najua wengi wetu tumeishapona vidonda vya uchaguzi na mimi ndo nimemaliza hekaheka za uchaguzi naweza kupumzka nyumbani. Mapumziko yangu yamenifanya nitafute mwenza wangu wa kunifaa maishani, niliyekuwa naye tumeachana miaka 7 iliyopita aliniachia watoto watatu.
Jamani naomba msaada wenu bila kubezana
Sifa
Awe wa kike umri kuanzia miaka 35-40
awe mcha mungu
awe tayari kupenda watoto wangu na kuwatunza
awe dini yoyote
hasiwe mchuma hela
Natanguliza shukurani
Mwe! Watu bwanamwanzo uliishi mchumba wa kiume? ufafanuzi kwenye bold blue
Eti una watoto tayari?nilishaipata siitaji tena