Natafuta mchumba

jamani nifundisheni ku PM dont ignore
Click on the name of anyone you want to PM you will see:
View Profile View Forum Posts
Private Message View Articles
Add as contact Send email
Choose what suits you.
Unaweza kuanza na kuni PM, kwa kujaribu tu.
Good luck
 
Jamani siku hizi watu kupata mchumba kwenye JF ni kazi sana.
pole lakini ila unaweza match na huyo mdada aliye na watoto 5 jumla mkawa na watoto 8. inawafaa sana:decision:
 

Vigezo vyote poa ila hilo jina lako ndo linatia kichefuchefu naona kama utanitesa sana ukiniweka ndani!!!!
 
Vigezo vyote poa ila hilo jina lako ndo linatia kichefuchefu naona kama utanitesa sana ukiniweka ndani!!!!

Jamani eti wewe ni dada au ni mkaka yule
Anaye penda nanili..
samahani mpendwa kwa hilo swali
 
JK bado hujapata tu tangu mwaka jana? Kama bado hujapata ongezea kigezo.... ''awe mpenda CCM''
 
Bado dear, nahisi tatizo watu walianzisha misred ya mizaha kibao mpaka watu makini wakatupotezea wote.

Oohh pole my dear
mambo mazuri yako njiani
usijali na sie tuko hapa kukutuliza
Mpaka kieleweke hahaha lol
 
Vigezo vyote poa ila hilo jina lako ndo linatia kichefuchefu naona kama utanitesa sana ukiniweka ndani!!!!

Duuu wewe dada kumbe....sasa ndio nimeamini humu ndani ni noma.....
 
hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! mwenye macho haambiwi tazama!!!

watakutafuta!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…