Nimefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sijawahi kusikia cheo cha Afisa Msafirishaji
Nimefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sijawahi kusikia cheo cha Afisa Msafirishaji
Kwenye zile taasisi zenye magari kadhaa, nimewahi kuona TO - Transport Officer, mfano vyuo vya umma. Huyu huenda ni mmoja wapo.
hahahaha ndo keshakuwa nacho sasaNimefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sijawahi kusikia cheo cha Afisa Msafirishaji
Kwel elimu inahitajika looh! Iyo nafasi IPO inaitwa transport officer (TO) na hiyo course IPO inatolewa chuo cha usafirishaj inaitwa transport and logistics management na ndio inazalisha hao maofisa wa usafirishajihahahaha ndo keshakuwa nacho sasa
Toka hapaHeheee mchumba JF heheeee