Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

facebook umekosa???nenda fb huku kunawske za watu utatolewa kishipa ndooorooooboooo ww
 
Nimefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sijawahi kusikia cheo cha Afisa Msafirishaji
 
27 years is not a boy (mvulana)
Unanidhalilisha mimi mwenye umri huo....i am a man.
Kwa sababu upo bado mvulana endelea kutafuta
 
Nimefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sijawahi kusikia cheo cha Afisa Msafirishaji

Kwenye zile taasisi zenye magari kadhaa, nimewahi kuona TO - Transport Officer, mfano vyuo vya umma. Huyu huenda ni mmoja wapo.
 
hahahaha ndo keshakuwa nacho sasa
Kwel elimu inahitajika looh! Iyo nafasi IPO inaitwa transport officer (TO) na hiyo course IPO inatolewa chuo cha usafirishaj inaitwa transport and logistics management na ndio inazalisha hao maofisa wa usafirishaji
 
Back
Top Bottom