sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
mpaka nywele ziache kusisimka ndo ntatangaza,ucjali vuta subira,mie na wewe lazima tuwe mwili mmoja.
Hilo la kuwa mwili mmoja siliwezi. Yaani nisichepuke peke yangu? Cheusi, kwa hilo uchumba umekufa. Nataka kubaki na mwili wangu na wewe wako. Wimbo ufuatao, uwe kivunja uchumba.
Nakupenda bibi kizee, nakupenda kikongwe,...tongotongo nalamba,.....x10
Nadhani nitakuwa ni mimi,maana hatamimi nimeoteshwa kuwa mwenzi wangu yupo humu kwenye jf,kwa hiyo ni jambo la furaha sana hilo cheusimangala.:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
tafadhali mpenzi usiniache,siwezi kuishi bila wewe,i love u so very much,ntakunywa sumu haki ya nani najiua kuliko kukuona na mwanamke mwingine,yaani umenipa mapenzi ambayo sijawahi pewa kabla afu leo hii ghafla tu unasema unaniacha.siwezipata mwingine anayenifikisha ahera ya maraha kama wewe swetie parachichi papaya sugarcane.nikikuona na another chick namuua kisha najiua.nipnee huruma hebu ona machozi yalivyonikauka kwa huzuni.(nenda mwanakwenda kwanza nilikua nakuchuna tu).
Cheusi!! Cheusi!!...sasa ukisikia uchakachuaji ndio huu,,,,.Ukija nyumbani leo nakutwanga talaka 3,inamaana sikutoshelezi au??
haaaa, kitenge na 4 angle!!!
wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angle,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''NAKUTAFUTA WEWE ULIYEOTESHWA KUWA I CHEUSIMANGALA NIMETOLEWA UBAVUNI MWAKO''
LUV YOU ALL

Usiku wa kuamkia j 2 niliota mke wangu kakimbia na msudani aliefanana na kakakiiza nikawa kwenye mawazo sana akaja sista mmoja mrefu mweusi mwenye ngozi laini,macho ya kusinzia,sauti ya k-lynn akaniambia usiwe na hofu hata mie nimetendwa tufarijiane tuishi pamoja milele sasa sijui ni wewe nini cheusi ?
Kuwa makini huyo siyo roho mtakatifu bali ni roho mtaka-chuchu, we umesema hauko singo halafu huyo roho anakusisitiza mwenza wako yuko humu mmmh! sijui embu angalia angalia hao members wapya walijiunga Nov 2010 ukute roho mtaka chuchu amemleta mmoja kwa ajili yako.
bado niko ktk maombi kuhakikisha kuwa hakuna roho yoyote toka kuzimu inahusika.BTW umeniua mbavu hapo ktk bold.
kweli nimepotea,make watu wametafuta wachumba hadi wamepata na hadi kupigana vibuti hata sijui.endelea na maombi mama labda yatajibu.
sio wote wasemao Bwana bwana watauona ufalme wa Mungu...watafsiri wote waliomtafsiria mfalme nebukadreza ndoto yake waliuawa isipokuwa Danieli aliyepatia....MIMI HAPA>>.
sijawahi kutendwa ila tunaweza kuiadjust ndoto yako coz hayo mengine yote yanaendana.lkn ulivaa shati la kitenge na 4 angle maana hiyo ndio ishara kuu niliyoopewa.