mzee wa wazee
Member
- Nov 1, 2010
- 70
- 18
Maskini jamvi la wana jf!hii taabu tupu, kuna tija hapa kwa muskabali wa maendeleo ya taifa-hii imenitisha sana kama ndo aina ya mijadala tunayoleta hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushaambiwa,iweje umtishie mke wa jirani talaka.shauri yako ngoja ukamatwe ugoni bila hatia.mie wa uporoto1 mwingine sihitaji coz ananipa ambavyo wanaume wengine hamuwezi kunipa.lol
hujaonja za wengine, ndo maana hujui utamu wake
hoja yako imekaa kimtego,nikijibu naweza vunja ndoa yangu na uporoto1.
halafu honey where are you,I miss u so bad hadi napata homa huku,hebu njoo uutulize moyo wangu unaotapatapa kwa kukosa kukuona.
I send you milion kisses and hugs:love::A S kiss::A S-rose:
Maskini jamvi la wana jf!hii taabu tupu, kuna tija hapa kwa muskabali wa maendeleo ya taifa-hii imenitisha sana kama ndo aina ya mijadala tunayoleta hapa
wapwa na mabinamu zangu babu na mabibi,jana usiku nimepata maono,nimeoneshwa kuwa mwenza wangu yuko hapa jamii forum.
Nimeoneshwa taswira ya mwenza wangu kwa mbali lkn sura sijaiona vizuri ila nakumbuka ktk maono nilimuona kavaa shati la kitenge na viatu vya four angle,mara ghafla akavaa kwa style niipendayo ya jeans na tshirt na raba nikachanganyikiwa.
Niko ktk maombi kumuomba 'roho' anitafsirie haya maon sababu siko singo lkn ktk maoni roho anasisitiza mwenza wangu yuko hapa.
''nakutafuta wewe uliyeoteshwa kuwa i cheusimangala nimetolewa ubavuni mwako''
luv you all
Mmmhhhh haya bana
yuko wapi ndugu yangu?. mambo vipi lakini