Natafuta mdada anipe kampani ya vacation Nairobi

Natafuta mdada anipe kampani ya vacation Nairobi

Keneth12

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
114
Reaction score
162
Nitakuwa na vacation tarehe 19/02/2017 wiki 1 au 2 nahitaji mdada atakayenipa kampani twende wote Nairobi kwa kipindi hicho, nina umri wa miaka 39, 95kgs niko Arusha. Pm kama interested.
 
Awww.. Navopenda safari.... Ila nahofia USALAMA wangu...

Miss natafuta ...ni ndege Mamie... Anza kupack
 
Ayaaa.... Kumbe kigezo ni kuwa mtanzania.... Shopping ya safari lini???
 
Nitakuwa na vacation tarehe 19/02/2017 wiki 1 au 2 nahitaji mdada atakayenipa kampani twende wote Nairobi kwa kipindi hicho, nina umri wa miaka 39, 95kgs niko Arusha. Pm kama interested.
Au unataka kumbebesha UNGA WAKO!??
kwa nini usimchukue mkeo?tena inawezekana mkeo hata kariakoo tu haujampeleka,unataka kumpeleka mdada Nairobi!?
 
Inbox wamekuja wangapi? Ila nairobi totoz za ukweli isipokuwa wasikupige madawa ukalala wwe wakakupiga searching
 
Back
Top Bottom