Natafuta mdada wa kunichuna wa hapa JamiiForums

Dau linaweza kupanda au lipo fixed?
Mbona linatosha sana tu au wewe ulitaka lipande?
Unakunywa bia ngapi kwani, maana mimi situmii ila utakunywa hadi uje ulete mrejesho hapa.
 
Hahahaaaa. Hapana aiseee.

Usawa wenyewe huu nimejikuta namuonea huruma sababu nikisema nijitose kwenda kumchuna basi nina imani atabaki mifupa. Teh teh.
hhhhh cku zote nimezoea kuona wanaume huwa ndo tunalalamika kuwa wanawake wanatuchuna sana.....leo nashangaa jamaa kajiingiza king mwenyewe.nasubiria vyamdeko waje!!!
 
hhhhh cku zote nimezoea kuona wanaume hua ndo huwa tunalalamika kuwa wanawake wanatuchuna sana.....leo nashangaa jamaa kajiingiza king mwenyewe.nasubiria vyamdeko waje!!!
Hahaaa. Mie pia nimejikuta nashangaa kulikoni leo.

Asipokuwa makini atajikuta anatoa hadi zile ambazo hakuzitegemea.

Ila nadhani anatania tu. Sababu kwa jinsi pesa ilivyo ngumu eti aanze tu kutoa ofa zisizo na kichwa wala miguu.
 
Hahahaaaa. Hapana aiseee.

Usawa wenyewe huu nimejikuta namuonea huruma sababu nikisema nijitose kwenda kumchuna basi nina imani atabaki mifupa. Teh teh.
Mimi si ndo nimetoa nafasi ya kuchunwa we njoo usijali, naomba uje uniachie nauli ya dala dala tu.
 
Hahahaaaa. Hapana aiseee.

Usawa wenyewe huu nimejikuta namuonea huruma sababu nikisema nijitose kwenda kumchuna basi nina imani atabaki mifupa. Teh teh.
Kwenye hiyo hela hajatoa punguzo la bei,na kabla hajapunguza kumbuka sifuri moja haipo
 
Hahaaa. Mie pia nimejikuta nashangaa kulikoni leo.

Asipokuwa makini atajikuta anatoa hadi zile ambazo hakuzitegemea.

Ila nadhani anatania tu. Sababu kwa jinsi pesa ilivyo ngumu eti aanze tu kutoa ofa zisizo na kichwa wala miguu.
ngoja ya mkute......wenye hela wnyw hawataki upuuzi wa muundo huo et uanze kumpa offer demu ambaye hata humjui......matokeo yake atakurudishia offer ya kifoo!!!!!
 
Mimi si ndo nimetoa nafasi ya kuchunwa we njoo usijali, naomba uje uniachie nauli ya dala dala tu.
Hahahahaaaa. Nikuachie nauli tena lol.

Pambana na hela yako Mkuu sababu mie huwa sina kawaida ya kufuja pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…