Natafuta mdada wa kunichuna wa hapa JamiiForums

Natafuta mdada wa kunichuna wa hapa JamiiForums

Hahahaa. Kama ni kweli hajajua kuwaza mbali.
ila pia inawezekana ni udomo zege......unatongozea nyuma ya keyboard..kwann asitafute mmoja wa hapo kitaani kwake mbona atampata kwasababu hela si anazo!!
 
ila pia inawezekana ni udomo zege......unatongozea nyuma ya keyboard..kwann asitafute mmoja wa hapo kitaani kwake mbona atampata kwasababu hela si anazo!!
Hahahaa. Kwa upande mwingine huenda ikawa aisee.

Sababu kwa hili tangazo anajua yule mwenye shida atajipeleka mwenyewe hivyo yeye atamalizia tu. Lol
 
Wazazi wako wanakufa na ufukara wewe unakuja kuandika upuuzi humu nakushauri tu saidia wazazi wako bro they are suffering emptyness
 
Nimegundua tatizo...ni kichwa cha habari hakijaeleweka labda walitaka niseme wakula nae bata. Basi aje laki mbili na hamsini kwa kula bata si kidogo. Ofa ni kwa ajili ya wadada wa humu hususan wa Dar.
 
Mkuu kwa uzi wako wa jana naona wamegoma kuja pm naona imebidi utangaze dau kabisa!
 
Wazazi wako wanakufa na ufukara wewe unakuja kuandika upuuzi humu nakushauri tu saidia wazazi wako bro they are suffering emptyness
Huwajui wazazi wangu ndo maana ukaongea hivi...nawahudumia kila leo na wanashukuru kupata mtoto kama mimi.
Kwahiyo nisile bata kwasababu nna wazee wakati hawalali njaa kwa ajili yangu???
 
Back
Top Bottom