tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,196
If you ain't interested in the offer you have no right to know any of those.Aside from your "TRA" job, wasifu wako wewe ni nini hasa? Eg Urefu, Rangi, Kabila, Dini, Level of education, # siblings and their related education and/or occupation. Wazazi je? Elimu yao? Makazi yao?
Maswali ya Nyongeza: Where do you see yourself 5 years from now? Unapoishi do you own or rent? What assets (if any) do you have?
Customs officer ana comply tax au anahakikisha watu wana comply tax?Habarini zenu hapa ndani, nina miaka 26 ila kulingana na umri wangu (mdogo) siwezi kuoa kwa sasa na hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuzaa nae tu. Nitagharamia kila kitu kuanzia siku ya kwanza ya ujauzito hadi siku mtoto atakapokua na umri wa kutosha kuishi na baba yake. Nature ya kazi yangu ni ya kuhama mara kwa mara (customs officer, TRA) hivyo ni ngumu ku settle na kuanzisha familia kwa sasa.
NB; ni muhimu awe mrefu (at least 5.5feet) na awe kwa rangi mweupe au chocolate. Hiyo ndo mbegu natafuta[emoji4]
Ambae yupo interested anicheki PM.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aside from your "TRA" job, wasifu wako wewe ni nini hasa? Eg Urefu, Rangi, Kabila, Dini, Level of education, # siblings and their related education and/or occupation. Wazazi je? Elimu yao? Makazi yao?
Maswali ya Nyongeza: Where do you see yourself 5 years from now? Unapoishi do you own or rent? What assets (if any) do you have?
Jibu maswali acha longo longo. Mtoto is a lifetime commitment. It would be amiss for one to not do their due diligence before embarking on such a journey. Simple pure logic π΅If you ain't interested in the offer you have no right to know any of those.
You might be right, nadhani nimesema wazi kwa alokua interested aje PM kwahiyo kama upo interested njoo PM utayajua yote unayotaka kuyajua na ziada ya hayo.Jibu maswali acha longo longo. Mtoto is a lifetime commitment. It would be amiss for one to not do their due diligence before embarking on such a journey. Simple pure logic π΅
We ni mdogo?Habarini zenu hapa ndani, nina miaka 26 ila kulingana na umri wangu (mdogo) siwezi kuoa kwa sasa na hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuzaa nae tu. Nitagharamia kila kitu kuanzia siku ya kwanza ya ujauzito hadi siku mtoto atakapokua na umri wa kutosha kuishi na baba yake. Nature ya kazi yangu ni ya kuhama mara kwa mara (customs officer, TRA) hivyo ni ngumu ku settle na kuanzisha familia kwa sasa.
NB; ni muhimu awe mrefu (at least 5.5feet) na awe kwa rangi mweupe au chocolate. Hiyo ndo mbegu natafuta[emoji4]
Ambae yupo interested anicheki PM.
Ndio, umri na malengo nlonayo hayaniruhusu kuoa sasa hivi.We ni mdogo?
Sir, PM inakuja once one is able to determine you at least have the bare minimum (whatever this may be to them) to be a "Baby Daddy". Na kwa wenye akili, I am afraid just being a "TRA" employee isn't all that qualifies for this. Anywho I stand to be corrected, tusubiri hao candidates wako waje π!!You might be right, nadhani nimesema wazi kwa alokua interested aje PM kwahiyo kama upo interested njoo PM utayajua yote unayotaka kuyajua na ziada ya hayo.
Aseeh sina aseeh kwa leo.Mkuu vipi, hauna sistee anayetafuta baby Daddy!!?
Buyer be wareHabarini zenu hapa ndani, nina miaka 26 ila kulingana na umri wangu (mdogo) siwezi kuoa kwa sasa na hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuzaa nae tu. Nitagharamia kila kitu kuanzia siku ya kwanza ya ujauzito hadi siku mtoto atakapokua na umri wa kutosha kuishi na baba yake. Nature ya kazi yangu ni ya kuhama mara kwa mara (customs officer, TRA) hivyo ni ngumu ku settle na kuanzisha familia kwa sasa.
NB; ni muhimu awe mrefu (at least 5.5feet) na awe kwa rangi mweupe au chocolate. Hiyo ndo mbegu natafuta[emoji4]
Ambae yupo interested anicheki PM.
Dah! Sio kwa maswali haya nadhani jamaaa ataingia chonjoAside from your "TRA" job, wasifu wako wewe ni nini hasa? Eg Urefu, Rangi, Kabila, Dini, Level of education, # siblings and their related education and/or occupation. Wazazi je? Elimu yao? Makazi yao?
Maswali ya Nyongeza: Where do you see yourself 5 years from now? Unapoishi do you own or rent? What assets (if any) do you have?
Mkuu maswali muhimu...................enquiring mind inataka kujua kama Myuzishen wa kimataifa "Diamond" anatoka kijasho kumuhudumia "Prince Dully" sasa Afisa wa TRA je itakuwaje? Ndio maana nikajiongeza na ku-expand investigeshoni kwa wanafamilia pia. Maana who knows? Unaweza kukuta Afisa Customs ni "Trust Fund Baby" pia πDah! Sio kwa maswali haya nadhani jamaaa ataingia chonjo